TAARIFA YA UCHAGUZI WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Ofisi ya  bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaimetoa taarifa rasmi ya uchaguzi wa Bunge la Afrika Mashariki (EAC) ambapo nafasi za waujumbe tisa kutoka Tanzania zinagombaniwa.
Uchaguzi huo unatakiwa kufanyika katika mkutano was aba wa bunge la jamhuri kuanzia tarehe 4 April 2017 bungeni mini Dodoma.
Msimamizi wa uchaguzi anatoa wito kwa watanzania wenye sifa kugombea nafasi hizo. 

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment