Afisa wa Umoja wa
Mataifa, amekataa ombi la kiongozi wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya Nasa,
Raila Odinga la kutaka umoja huo kufanya tathmini mpya ya uchaguzi mkuu wa
Agosti 8.
![]() |
Msemaji wa Umoja wa
Mataifa, Farhan Haq, ameunga mkono kauli ya Katibu Mkuu, Antonio Gutrres, ya
kuwataka wanasiasa wa Kenya wanaopinga matokeo ya uchaguzi kufikisha masuala
hayo mbele ya taasisi zenye mamlaka ya kutoa maamuzi Kikatiba.
Bw.
Haq amesema, Umoja huo utafuatilia kauli za Bw. Odinga kuhusu uchaguzi mkuu
huku gazeti la Washington Post likisema uchaguzi wa Kenya ulikuwa huru na wa
haki.
0 comments:
Post a Comment