UCHAGUZI WA WENYEVITI WA WILAYA CCM KURUDIWA TENA

Mkutano mkuu wa CCM taifa (NEC) umefuta uchaguzi wa wenyeviti katika wilaya nne baada ya kubaini wagombea waliojitokeza hawakuwa na sifa....
Read More

HAKUNA ALIYENUSURIKA KWENYE AJALI YA NDEGE DR CONGO

Ndege ya kijeshi imeanguka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuwaua abiria wote waliokuwamo kwenye ndege hiyo asubuhi ya leo. ...
Read More

POLEPOLE AWANYAMAZISHA KUHUSU KINANA

Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole ametoa ufafanuzi kuhusu sababu zilizomfanya katibu mkuu wa chama...
Read More

SERIKALI IMESAINI MKATABA WA UJENZI WA RELI YA KISASA AWAMU YA PILI KUTOKA MORO HADI DODOMA

Serikali kupitia Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) imesaini mkataba wa ujenzi wa awamu ya pili wa Reli ya kisasa (STANDARD GAUGE ...
Read More

SERIKALI KUENDELEA KUPUNGUZA IDADI YA VIFO VYA MAMA WAJAWAZITO

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii,Jinsia, Wazee na Watoto imejidhatiti kujenga vyumba vya upasuaji 170 kwa wajawazito ili...
Read More