
Home / Archive for August 2017

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AFUNGA KONGAMANO LA NNE LA DIASPORA ZANZIBAR
Kongamano lilodumu kwa siku mbili kwa kuwakutanisha watanzania waishio Ughaibuni (4th Tanzania Diaspora Conference) limehitimishwa hii leo ...
Read More

YALIYOANDIKWA KWENYE MAGAZETI YA LEO AGOSTI 25 2017
Soma yaliyoandikwa kwenye magazeti ya leo Agost 25 2017 upate kujua yaliyojiri katika matukio, michezo, burudani, siasa nje na ndani ...
Read More

SERIKALI YA MISRI KUJENGA KIWANDA CHA NYAMA TANZANIA
Rais John Magufuli amesema Tanzania imekubaliana na serikali ya Misri kuja kuanzisha kiwanda kikubwa cha nyama ili kukuza ushirikiano wa ...
Read More

UN YAKATAA OMBI LA ODINGA LA KUFANYA TATHMINI YA UXHAGUZI
Afisa wa Umoja wa Mataifa, amekataa ombi la kiongozi wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya Nasa, Raila Odinga la kutaka umoja huo kufanya ta...
Read More

KIONGOZI WA AL SHABAAB MOUKHTAR ROBOW AJISALIMISHA SOMALIA
Maafisa nchini Somalia wanasema kuwa mwanachama wa cheo cha juu wa kundi la al-Shabaab Moukhtar Robow amejisalimsha kwa serikali. Al...
Read More

BUNGE NCHINI IRAN LAPITISHA MUSWADA WA MPANGO WA NYUKLIA
Bunge la Iran limepitisha muswada wa kutenga zaidi ya dola nusu bilioni zaidi, kwa ajili ya mradi wa makombora. Iran inajibu vikwazo vya hi...
Read More

MBUNGE WA CHALINZE AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WAFADHILI KUTATUA CHANGAMOTO JIMBONI
Mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameahidi kuunga mkono juhudi za wafadhili na wadau wanaojitokeza kushirikiana nao kutatua ch...
Read More

BAADA YA RAIS MAGUFULI KUWATAKA MAWAZIRI KUFANYA MAAMUZI MWIJAGE AFUNGIA VIWANDA KUMI
Siku kadhaa zimepita tangu Rais Magufuli awatake mawaziri kuwa wenye uwezo wa kufanya maamuzi ya haraka katika kazi zao, maneno hayo aliyaz...
Read More

TAKUKURU YAWAFIKISHA MAHAKAMA YA KISUTU VIGOGO WATANO WA TANESCO
Vigogo watano wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) wanefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na ...
Read More

UCHAGUZI MKUU KENYA, ULIVYOGUBIKWA NA MATUKIO WAKATI WA UPIGAJI KURA
Raia wa Kenya wameshiriki oezi la Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2017 jana tarehe 8 Agosti, ambapo kwa mwaka huu yapo matukio ambayo hayajawahi kut...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)