LIVERPOOL YAIBUKA BINGWA BAADA YA KUIBAMIZA LEICESTER

Timu ya Liverpool nchini Uingereza imeibuka mshindi wa kombe la Asia awamu ya 2017 bada ya kuifunga Leicester goli 2-1 mjini Hong Kong. ...
Read More

BOMOA BOMOA KUWAKUMBA WALIOJENGA MPAKANI MWA TANZANIA NA ZAMBIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa miezi mitatu kwa wananchi wote waliojenga ndani ya eneo la mpaka wa Tanzania na Zambia kubomoa nyumba za...
Read More

CHAMA CHA MAPINDUZI KUWASAIDIA WALIOKOSA MIKOPO YA ELIMU YA JUU

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaita wanafunzi wote wa elimu ya juu nchini ambao wamekosa mikopo ya elimu yajuu kutokana na sababu mbalimbal...
Read More

MAREKANI KUPIGA MARUFUKU SAFARI ZA KOREA KASKAZINI

Nchi ya Marekani kupiga marufuku raia wake kusafiri kwenda nchini Korea Kaskazini, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mashirika mawili ya...
Read More

WAWILI WAFARIKI DUNIA KWENYE AJALI YA DALADALA

Watu wawili wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha daladala yenye namba za usajili T427 BQZ inayofanya safari z...
Read More

TLS YALAANI KUKAMATWA KWA RAIS WAKE MHE. TUNDU LISSU

Baraza la Uongozi la Chama Cha Mawakili wa Tanganyika (Tanganyika Law Society TLS) kimesema kuwa kimelaani kitendo cha jeshi la polisi kumk...
Read More

ZANZIBAR YAFUTWA KWENYE ORODHA YA WANACHAMA WA SHIRIKISHO LA SOKA AFRICA

Zanzibar imefutiwa uanachama wake katika Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ikiwa ni miezi minne tu imepita tangu walipokubaliwa na kuwa mjumb...
Read More

MAWAKILI WA LISSU WASOTA POLISI, WAZUILIWA KUMUONA MTEJA WAO.

Wakili wa Tundu Lissu, Fatma Karume amesema mpaka sasa hajaruhusiwa kumuona mteja wake licha ya kufika Polisi Makao Makuu tangu asubuhi. ...
Read More

NKURUNZINZA AMEFANYA ZIARA TANZANIA NA KUWATAKA WARUNDI WARUDI NCHINI KWAO

Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Piere Nkurunzinza leo tarehe 20 Julai, 2017 amefanya ziara ya rasmi ya kiserikali ya siku moja hapa nchini ...
Read More

MASAUNI AMFUTA KAZI MKUU WA USALAMA BARABARANI MKOANI PWANI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amelitaka Jeshi la Polisi kumuondoa katika nafasi ya Mkuu wa Polisi, Us...
Read More

YALIYOANDIKWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JULAI 20 2017

Soma yaliyoandikwa kwenye magazeti ya leo Julai 20 2017 upate kujua yaliyojiri katika matukio, michezo, burudani, siasa nje na ndani ...
Read More